Calendar of events

Here you can find a list of events concerning the Business Development Gateway. For detailed information relating to the Business Plan Competition or the Business Diagnostics Program please refer to the calendars under these programs.

Uzinduzi wa BDG

10/03/2011 - 13:00
11/04/2011 - 13:59

Programu mbili za BDG zina mizunguko miwili kwa mwaka.
Mzunguko wa kwanza wa Mashindano ya Mpango wa Biashara (BPC) unaanzia tarehe 03 Octoba, 2011 mpaka 04 Novemba, 2011. Mzunguko wa kwanza wa Programu ya Kuendeleza Biashara (BDP) unaanzia tarehe 03 Octoba, 2011 mpaka 28 Octoba, 2011.

MWALIKO!

08/13/2009 - 01:00
08/14/2009 - 01:59

Kwa washindi 50 wa Mashindano ya Mpango wa Biashara(BPC) na washindi 70 wa Programu ya Kuendeleza Biashara(BDP) wa Programu ya BDG Fanikiwa Ki-biashara

Timu ya BDG na washirika wake inayofuraha kuwakaribisha kwenye siku za Mjasiriamali wa TPSF na sherehe ya mwisho ya mzunguko wa kwanza wa mashindano ya programu ya BDG.

Kwa kutaka kujua taarifa zaidi tafadhali pakua andiko katika kiambatanisho..

Hamisha: CSVCSV
AttachmentSize
Invitation BDG participants TPSF event August 09swahili.pdf92.72 KB
HOME | SITEMAP | CONTACT | All information and services on this site © 2009 TPSF | Site by TTC