Kwa washindi 50 wa Mashindano ya Mpango wa Biashara(BPC) na washindi 70 wa Programu ya Kuendeleza Biashara(BDP) wa Programu ya BDG Fanikiwa Ki-biashara
Timu ya BDG na washirika wake inayofuraha kuwakaribisha kwenye siku za Mjasiriamali wa TPSF na sherehe ya mwisho ya mzunguko wa kwanza wa mashindano ya programu ya BDG.
Kwa kutaka kujua taarifa zaidi tafadhali pakua andiko katika kiambatanisho..






