Utoaji wa zawadi na zawadi za fedha

During the different phases of the Business Plan Competition, a number of awards and prices will be made available:
  • Wajasiriamali 500 wenye mawazo ya biashara yenye mwelekeo wa kutekelezwa, wataalikwa kuhudhuria mafunzo ya siku moja kuwaongezea elimu na ujuzi wa biashara.
  • Katika hatua ya 2, Wajasiriamali 250 wenye mihtasari bora zaidi ya biashara watapewa zawadi ya Dola za Marekani 2,500/= na wataalikwa kuhudhuria mafunzo ya siku 3 kuhusu Mpango wa Biashara.
  • Wajasiriamali wenye mihtasari bora zaidi 50 ya Mpango wa Biashara katika Hatua ya 3 watapewa zawadi ya Dola za Marekani 7,500/=. Vile vile wataalikwa kwenye mafunzo ya siku 5 za kupewa ushauri wa karibu.
  • Washiriki watakaofika hatua ya Fainali ya Mashindano ya Biashara, 2009 watapata zawadi kubwa zifuatazo:
    • Mshindi wa Tano – US$ 10,000/-
    • Mshindi wa Nne – US$ 11,000/-
    • Mshindi wa Tatu – US$ 11,500/-
    • Mshindi wa Pili – US$ 12,500/-
    • Mshindi wa Kwanza – US$ 15,000/-
    • Mbunifu zaidi – US$ 12,500/-
    • Mshindi katika Utalii – US$ 12,500/-
    • Mshindi katika Kilimo – US$ 12,500/-
    • Mjasiriamali Bora Mwanamke – US$ 10,000/-
    • Mjasiriamali Bora Kijana – US$ 10,000/-

When does it all happen?

HOME | SITEMAP | CONTACT | All information and services on this site © 2009 TPSF | Site by TTC